All Clinics
Akina mama wanapata huduma za uzazi pamoja na matibabu ya magonjwa ya wanawake. Aidha tunafurahi kusema kuwa huduma tunazotoa kwa akinamama na wanawake kwa ujumla ni huduma za kibingwa kwani Hospitali ya rufaa ya mkoa tumebahatika kuwa na Daktari Bingwa -...
Ili mgonjwa apate huduma atatakiwa kuhuduria kliniki ya huduma husika kwa ratiba ya
kliniki husika kama ratiba ianvyoonesha isipokua kwa wagonjwa wa dharura tu.
Dharura za upasuaji hufanyika pale zinapojitokeza na hapa shughuli zingine huwa zinasit...
Kliniki Ya Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa hufanyika siku za jumanne na Ijumaa kama inavyoonekana kwenye ratiba. Kiliniki hii huendeshwa na Daktari Bingwa wa mifupa. Kliniki hii ni moja ya kliniki za kibingwa tulizonazo katika hospitali yetu. karibu ...
Hii inahisisha kliniki za aina mbili;
- Kliniki maalumu za magonjwa ya ngozi, magonjwa ya sukari, magonjwa ya akili, na magonjwa ya ndani.
- Kliniki za magonjwa mchanganyiko (ya kawaida)
- Kliniki za magonjwa ya ngozi na magonjwa ya akili hufany...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida tunaendesha kliniki za tiba usingizini na ganzi kwa siku zote za Juma. Kliniki hii inaendeshwa na Daktari Bingwa wa Tiba Usingizini na Ganzi (Anaesthesiologist).
Tunaona wagonjwa wote wanaopangiwa kufanyiwa upasuaj...