Akifunga mafunzo hayo ya Huduma Bora kwa mteja yaliyofanyika kwa muda wa siku mbili Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Victorina Ludovick alimpongeza Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa y... Read More
Akifunga mafunzo hayo ya Huduma Bora kwa mteja yaliyofanyika kwa muda wa siku mbili Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Victorina Ludovick alimpongeza Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa y... Read More
Leo Februari 18, 2026, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida (SRRH) imefanya mafunzo ya Huduma Bora kwa Mteja (Customer Care) yakiongozwa na Bi. Yolanda Urio, Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa ... Read More
Leo tarehe 07 Februari, 2026, Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaaa ya Mkoa wa Singida imefanya kikao chake cha robo ya pili kwa mwaka 2025/2026 katika Ukumbi wa Tiba Mtandao. Kikao hicho k... Read More
Katika kipindi cha siku tano kuanzia tarehe 1 hadi 5 Disemba 2025, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida (Singida RRH) ilifanikiwa kuendesha kliniki tembezi ya kibingwa Bobezi ya magonjwa ya... Read More
Akifungua kikao hicho Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida Dkt. Muhaj K. Mohammed ameishukuru timu ya MSD kwa mapokezi mazuri na kwa kazi wanayo ifanya katika kulijenga T... Read More
Akifungua Hafla hiyo mgeni rasmi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida Dkt. Muhaj K. Mohamed amewapongeza Wauguzi Watarajali kwa kumaliza muda wao wa Mafunzo ya vitendo Sa... Read More
Akisoma Taarifa hiyo Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida Dkt. David J. Mwasota amemshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kw... Read More
Akipokea taarifa hiyo ya mradi wa jengo la Kufua Hewa Tiba Ndg Ismail Ali Ussi Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025, amempongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri... Read More
Kaimu katibu tawala Mkoa wa Singida ambae pia Ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Victorina Ludovick akipokea mashine ya kisasa ya uchunguzi na upimaji wa magonjwa ya Pua, Koo na Masikio ... Read More
Kambi ya Matibabu ya Madaktari bingwa wa Dkt. Samia Kanda ya Kati imeweza kuwahudumia wananchi 3,242 na kuwapatia huduma katika maeneo tofauti tofauti ya kibingwa. ... Read More