Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida
(Hospitali ya Mkoa)

TANGAZO NAFASI YA MUUGUZI MFAWIDHI

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Singida anakaribisha maombi ya kazi ya Muuguzi Kiongozi (Matron/Patron) wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kutoka kwa wauguzi wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi moja (1) kama ilivyo bainishwa katika tangazo hili.

TANGAZO NAFASI YA MUUGUZI MFAWIDHI.pdf

- 06 October 2021