Kliniki ya Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa
Posted on: January 26th, 2026Kliniki Ya Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa hufanyika siku za jumanne na Ijumaa kama inavyoonekana kwenye ratiba. Kiliniki hii huendeshwa na Daktari Bingwa wa mifupa. Kliniki hii ni moja ya kliniki za kibingwa tulizonazo katika hospitali yetu. karibu tukuhudumie.


