Huduma za Idara ya Wagonjwa wa Nje (OPD)
Posted on: December 21st, 2024Hii inahusisha huduma za aina mbili;
- Kliniki maalumu za magonjwa ya sukari na magonjwa ya akili
- Huduma za magonjwa mchanganyiko (ya kawaida)
- Kliniki ya magonjwa ya akili hufanyika kila siku ya wiki isipokua siku za wikiendi.
- Huduma ya magonjwa mchanganyiko hufanyika saa 24 siku saba za wiki.
- kliniki ya magonjwa ya Sukari hufanyika kama inavyoonekana kwenye ratiba hapa chini;
RATIBA YA KLINIKI YA MAGONJWA YA SUKARI
SIKU | HUDUMA |
JUMATATU | KLINIKI YA KISUKARI KWA WATU WAZIMA |
JUMANNE | KLINIKI YA KISUKARI KWA WATOTO |
ALHAMISI | KLINIKI YA KISUKARI KWA WATU WAZIMA |