Huduma zetu
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Singida tunatoa huduma za upasuaji wa aina mbili;
- Upasuaji wa jumla na matatizo ya mkojo,
- Upasuaji wa mifupa.
Ili mgonjwa apate huduma atatakiwa kuhuduria kliniki ya huduma husika kwa ratiba ya
kliniki husika ka...
readmoreHuduma hii huwahusisha wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa ya ndani.
Wagonjwa hawa huwa huwa wanaonwa kupitia kliniki husika kwa matibabu.
Pia huduma ya kulazwa kwa wagonjwa hawa inapatikani kupitia wodi zetu ambazo
zimegawanyika katika maku...
readmoreTuna maabara kubwa na ya kisasa ambayo inauwezo mkubwa wa kufanya vipimo mbali mbali kwani ni ya kisasa na inayoendana na kasi ya teknolojia. Aidha tuna watumishi wenye uwezo mkubwa na wazoefu sana katika huduma hizi za maabara. Majibu yote yanayotolewa n...
readmoreHuduma hii inahusisha vipimo vya X ray na Ultrasound. Hospitali yetu ina mashine za kisasa kabisa kwa ajili ya vipimo hivyo tukiwa na wataalamu wa wazoefu kwa huduma, vipimo hivyo akiwemo Daktari wa mionzi.
readmoreHuduma hii inatolewa katika idara ya tiba ya tiba ya viungo ya Hospitali yetu ya rufaa ya Mkoa wa Singida.
Ifuatayo ni orodha ya matibabu yanayofanyika katika idara hii;
- Mazoezi tiba kwa waliopooza.
- Mazoezi tiba kwa watoto waliochelewa ukuaji. ...