Huduma za mionzi na Picha
Posted on: June 12th, 2026Huduma hii inahusisha vipimo vya X ray na Ultrasound. Hospitali yetu ina mashine za kisasa kabisa kwa ajili ya vipimo hivyo tukiwa na wataalamu wa wazoefu kwa huduma, vipimo hivyo akiwemo Daktari wa mionzi.


