Motisha hizo zilitolewa baada ya kumalizika kwa robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2021/2022 mwezi huu wa kwanza. Wakiongea kwa nyakati tofauti Daktari kiongozi wa wodi ya kina mama waliojifung... Read More
Habari
Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dkt. Doroth Mwaluko amempongeza Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kwa kufanikisha sherehe ya Siku ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Sin... Read More
Pongezi hizo alizitoa tarehe 08/12/2021 alipotembelea banda la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru. Baada ya kupata maelezo kuhusiana na ... Read More
HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SINGIDA YATOA MAFUNZO YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA KWA WATUMISHI WAKE WOTE
Mafunzo hayo ya magonjwa yasiyoambukizwa yametolewa kwa muda wa siku 5 kuanzia tarehe 30/11/2021 hadi tarehe 04/11/2021 ambapo takribani watumishi 320 wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Sin... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Beneth Mahenge azindua rasmi gari la Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida. Uzinduzi huo wa gari la Watumishi wa Hospitali ya Rufaa y... Read More
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida Jaji Mstaafu Fatuma Masengi ameupongeza uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kwa kutoa Motisha mbalimbal... Read More
Akizungumza katika kikao cha watumishi wote kilichofanyika katika ukumbi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Singida, Kaimu mganga Mfawidhi Dkt. Ramadhani Kabala amewataka watumishi wote kusimamia... Read More
Bodi ya ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida imezinduliwa rasmi leo tarehe 20 Septemba, 2019 na Mhe. Mhandisi Jackson Masaka mkuu wa wilaya ya Mkalama kwa niaba ya Mhe. Mkuu wa M... Read More
Mganga mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida Dkt. Deogratias Banuba (Daktari bingwa wa upasuaji mifupa) amehimiza kuongeza ukusanyaji wa mapato ya Hospitali ukiendana na ubora wa hu... Read More
Mh. Dkt. Rehema Nchimbi, mkuu wa mkoa wa Singida, amewataka wananchi wa mkoa huu kukataa uharibifu wa mazingira na kuacha kukata miti hovyo kwa tamaa na visingizio ambavyo kama vile ha... Read More