Kaimu katibu tawala Mkoa wa Singida ambae pia Ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Victorina Ludovick akipokea mashine ya kisasa ya uchunguzi na upimaji wa magonjwa ya Pua, Koo na Masikio ... Read More

Kaimu katibu tawala Mkoa wa Singida ambae pia Ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Victorina Ludovick akipokea mashine ya kisasa ya uchunguzi na upimaji wa magonjwa ya Pua, Koo na Masikio ... Read More
Kambi ya Matibabu ya Madaktari bingwa wa Dkt. Samia Kanda ya Kati imeweza kuwahudumia wananchi 3,242 na kuwapatia huduma katika maeneo tofauti tofauti ya kibingwa. ... Read More
Ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga ambaye ni Mgeni Rasmi wa kambi hiyo amesema kambi hiyo ilikua na tija kubwa kwani imewagusa wananchi wa Tanzania na kufanya kuwa n... Read More
Akifungua hafla hiyo ya uzinduzi wa bodi ya Hospitali uliofanyika mapema leo tarehe 28 Disemba 2025 Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Singida Mheshimiwa Bi Halima Omary Dendego ameipongez... Read More
Akitembelea miradi mbalimbali ya ujenzi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rai... Read More
Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini Mheshimiwa Musa Sima ametembelea vitengo mbali mbali vya kutolea huduma Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida. Ametembelea jengo la X Ray na kuona mashine mb... Read More
Akifungua mafunzo hayo ambayo yalifanyika kwa muda wa siku 3, kuanzia tarehe 7.11.2023 hadi tarehe 9.11.2023 Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Viktorina Ludovick alimshukuru Mdau wa Afya K... Read More
Leo tarehe 02.11.2023 Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida imewaaga Wauguzi Watarajali 17 ambao wamemaliza muda wao. Akizungumza katika tafrija hiyo fupi mgeni rasmi Bi Yasinta Alu... Read More
Taarifa hiyo imewasilishwa leo tarehe 19 Oktoba 2022 kwenye kikao cha Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida. Katika taarifa hiyo Katibu wa Bodi Dkt. Deogratias G. Banuba a... Read More
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Profesa. Abel Makubi leo Februari 26, 2022 amewasili Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kukagua miradi mbalimbali ya ujenzi ikiwemo ujenzi wa jengo la dharula ... Read More