Huduma za mionzi na Picha
Posted on: June 7th, 2023Huduma hii inahusisha vipimo vya X ray na Ultrasound. Hospitali yetu ina mashine za kisasa kabisa kwa ajili ya vipimo hivyo tukiwa na wataalamu wa wazoefu kwa huduma, vipimo hivyo akiwemo Daktari wa mionzi.