Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida
(Hospitali ya Mkoa)

Mission and vision

DIRA

"KUWA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA INAYOONGOZA KWA UTOAJI WA HUDUMA BORA ZA AFYA NCHINI".

DHAMIRA

"KUTOA HUDUMA BORA YA AFYA KWA JAMII KWA KUTUMIA WATUMISHI WENYE UWEZO NA RASLIMALI ZINAZOPATIKANA."