Idara
Hospitali ya rufaa mkoa wa Singida ina jumla ya idara 13 kama zinavyoonekana hapa chini
- Idara ya wagonjwa wa nje.
- Idara ya upasuaji
- Idara ya magonjwa ya ndani
- Idara ya watoto
- Idara ya magonjwa ya kina mama
- Idara ya uasuaji mifupa
- Famasi
- Idara ya mionzi
- Maabara
- Utawala