Akitembelea miradi mbalimbali ya ujenzi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rai... Read More
Habari
Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini Mheshimiwa Musa Sima ametembelea vitengo mbali mbali vya kutolea huduma Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida. Ametembelea jengo la X Ray na kuona mashine mb... Read More
Akifungua mafunzo hayo ambayo yalifanyika kwa muda wa siku 3, kuanzia tarehe 7.11.2023 hadi tarehe 9.11.2023 Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Viktorina Ludovick alimshukuru Mdau wa Afya K... Read More
Leo tarehe 02.11.2023 Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida imewaaga Wauguzi Watarajali 17 ambao wamemaliza muda wao. Akizungumza katika tafrija hiyo fupi mgeni rasmi Bi Yasinta Alu... Read More
Taarifa hiyo imewasilishwa leo tarehe 19 Oktoba 2022 kwenye kikao cha Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida. Katika taarifa hiyo Katibu wa Bodi Dkt. Deogratias G. Banuba a... Read More
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Profesa. Abel Makubi leo Februari 26, 2022 amewasili Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kukagua miradi mbalimbali ya ujenzi ikiwemo ujenzi wa jengo la dharula ... Read More
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalage leo Februari 21, 2022 amewasili Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida na kuzungumza na watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singid... Read More
Mafunzo hayo ya Maadili ya Uuguzi yametolewa kwa muda wa siku 5 kuanzia tarehe 21.02.2022 hadi tarehe 25.02.2022 ambapo takribani wauguzi 270 wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida Wamefan... Read More
Naibu Waziri wa Afya, Mhe Dkt. Godwin Mollel leo Januari 29, 2022 amewasili Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida na kufanya ziara ya kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na Hospitali ya... Read More
Leo tarehe 29.01.2022 Wanafunzi wa chuo cha uhasibu Singida kutoka kikundi cha “charity concert” wameitembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida na kufanya usafi maeneo mbalimbali ... Read More