Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida
(Hospitali ya Mkoa)

TANGAZO KWA UMMA

UONGOZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SINGIDA UNAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA KUANZIA SASA ATARUHUSIWA NDUGU MMOJA TU KUMWONA MGONJWA ALIYELAZWA ILI KUZUIA MSONGAMANO NA KUEPUSHA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA.

AIDHA KILA MTU ANAEINGIA NA KUTOKA ENEO LA HOSPITALI ATALAZIMIKA KUNAWA MIKONO YAKE KILA AINGIAPO NA ATOKAPO, VIFAA VYOTE VYA KUNAWIA MIKONO VIPO TAYARI GETINI.

- 19 March 2020