Kliniki ya Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Jumla na Matatizo ya Mkojo
Posted on: October 7th, 2024Ili mgonjwa apate huduma atatakiwa kuhuduria kliniki ya huduma husika kwa ratiba ya
kliniki husika kama ratiba ianvyoonesha isipokua kwa wagonjwa wa dharura tu.
Dharura za upasuaji hufanyika pale zinapojitokeza na hapa shughuli zingine huwa zinasitishwa
kwa muda kupisha dharura husika.