WANANCHI 3242 WANUFAIKA NA HUDUMA ZA KIBINGWA ZA MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA KANDA YA KATI.
Posted on: May 8th, 2025
Ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga ambaye ni Mgeni Rasmi wa kambi hiyo amesema kambi hiyo ilikua na tija kubwa kwani imewagusa wananchi wa Tanzania na kufanya kuwa na Taifa lenye watu wenye Afya Katika ujenzi wa nchi, huku akiwashukuru Madaktari bingwa wote.