Upasuaji
Posted on: September 17th, 2024Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Singida tunatoa huduma za upasuaji wa aina mbili;
- Upasuaji wa jumla na matatizo ya mkojo,
- Upasuaji wa mifupa.
Ili mgonjwa apate huduma atatakiwa kuhuduria kliniki ya huduma husika kwa ratiba ya
kliniki husika kama ratiba ianvyoonekana hapa chini isipokua kwa wagonjwa wa dharura tu.
Dharura za upasuaji hufanyika pale zinapojitokeza na hapa shughuli zingine huwa zinasitishwa
kwa muda kupisha dharura husika.
RATIBA YA HUDUMA ZA UPASUAJI WA JUMLA NA MATATIZO YA MKOJO
JUMATATU |
KLINIKI MAALUM |
MZUNGUKO WA KAWAIDA (SERVICE WARD ROUND) |
JUMANNE |
UPASUJI WA KUPANGWA
|
MZUNGUKO WA KAWAIDA (SERVICE WARD ROUND) |
JUMATANO |
MZUNGUKO MKUU (MAJOR WARD ROUND |
|
ALHAMISI |
KLINIKI MAALUM |
MZUNGUKO WA KAWAIDA (SERVICE WARD ROUND) |
IJUMAA |
UPASUAJI WA KUPANGWA
|
MZUNGUKO WA KAWAIDA (SERVICE WARD ROUND) |
RATIBA YA HUDUMA ZA UPASUAJI WA MIFUPA
JUMATATU |
MZUNGUKO WA KAWAIDA
(SERVICE WARD ROUND) |