Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida
(Hospitali ya Mkoa)

Maabara

Posted on: June 12th, 2024

Tuna maabara kubwa na ya kisasa ambayo inauwezo mkubwa wa kufanya vipimo mbali mbali kwani ni ya kisasa na inayoendana na kasi ya teknolojia. Aidha tuna watumishi wenye uwezo mkubwa na wazoefu sana katika huduma hizi za maabara. Majibu yote yanayotolewa na maabara yetu ni yakuaminika na tunaamini kuwa sampuli yeyote itakayopimwa katika maabara yetu itatoa majibu sawa na maabara zingine popote pale duniani yanye viwango bora vinavyokubalika kimataifa. Hivyo tunakukaribisha/tunawakaribisha kwa huduma bora kabisa za maabara.