HUDUMA YA TIBA YA VIUNGO (PHYSIOTHERAPY)
Posted on: December 21st, 2024Huduma hii inatolewa katika idara ya tiba ya tiba ya viungo ya Hospitali yetu ya rufaa ya Mkoa wa Singida.
Ifuatayo ni orodha ya matibabu yanayofanyika katika idara hii;
- Mazoezi tiba kwa waliopooza.
- Mazoezi tiba kwa watoto waliochelewa ukuaji.
- Tiba ya maumivu ya pingili za mgongo.
- Tiba ya maumivu ya viungo.
- Tiba ya mguu kifundo (clubfoot) kwa watoto.