Ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Ndugu Ismail Rumatila katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida imelenga kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la UVIKO-19 lenye gorofa tatu l...Read more


Napenda kukukaribisha katika Tovuti hii ya Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Singida. Katika tovuti hii utapata taarifa muhimu sana, za uhakika kuhusu huduma zetu. Mimi na watumishi wote wa hospitali hii tupo tayari kabisa kukuhudumia, hivyo karibu upate huduma zetu za matibabu ya kawaida n...
Read moreHospitali ya Rufaa ya Mkoa Singida tunatoa huduma za upasuaji wa aina mbili;
Ili mgonjwa apate huduma atatakiwa kuhuduria kliniki ya huduma husika kwa ratiba ya
kliniki husika ka...
readmoreHuduma hii huwahusisha wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa ya ndani.
Wagonjwa hawa huwa huwa wanaonwa kupitia kliniki husika kwa matibabu.
Pia huduma ya kulazwa kwa wagonjwa hawa inapatikani kupitia wodi zetu ambazo
zimegawanyika katika maku...
readmoreTuna maabara kubwa na ya kisasa ambayo inauwezo mkubwa wa kufanya vipimo mbali mbali kwani ni ya kisasa na inayoendana na kasi ya teknolojia. Aidha tuna watumishi wenye uwezo mkubwa na wazoefu sana katika huduma hizi za maabara. Majibu yote yanayotolewa n...
readmore
Ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Ndugu Ismail Rumatila katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida imelenga kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la UVIKO-19 lenye gorofa tatu l...Read more




UTANGULIZI
Ugonjwa wa Ebola ni ugonjwa wa hatari unaosababishwa na virusi vya Ebola. Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa ya milipuko yajulikananyo kama homa za virusi vinavyosababisha kutoka damu mwilini
Ugonjwa huu kwa asili upo kwa wanyama ka...
read more